Friday, June 10, 2011

Shule Yetu

Shule yetu ni kubwa na karibu na barabara kubwa katika jiji la Hudur upande wa magharibi.
Shule yetu ina maofisi mawili,moja ni ya mwalimu mkuu na ngine ni ya walimu wengine.Ina madarasa saba,uwanja wa kucheza,vyoo vinne na miti mengi ya kukaa wakati wa kupumzika.
Wanafunzi wanaosoma shule yetu ni takribani mia mbili na ziada kwa jumla ya wasichana na wavulana.
Isitoshe,tuko na walimu sita wanaotufundisha masomo tofouti tofouti kama Kingereza,Kiswahili,Hisabati,Sayansi n.k.
Masomo inaendelea kwa upesi na kwa amani.Wanafunzi wanasoma kwa hamu na ghamu ili walimu wafundishe kwa furaha na amani. Kwa hivyo napenda shule yetu.

Imeandikwa na Hussein Ali Abdi,
Kiranja cha darasa la tano A,
Shule ya msingi ya shodog

0 comments:

SHODOG PRIMARY SCHOOL | Designed by - Shodog Primary School - 2014