Wednesday, June 8, 2011

Shule yetu

Shule yetu inaitwa shule ya msingi ya Shodog. Chuo chetu cha msingi ina walimu aina kadha wa kadha. Baina ya kila kipindi, tunafundishwa mada katika madarasa letu.
Kuanzia na mazingira ya shule yetu, kusema kweli,inatufurahisha sana. Huwa ina mazingira yenye aina za miti tofauti tofauti ambayo ni muhimu kwa msomaji na pia hali ya mazingira ni shwari au tulivu. Katika shule yetu kila mwanafunzi anaangalia mbele kwa vile kufika manufaa bora ya elimu. Wahenga walisema, "panaponia pana njia."

Imetayarishwa na Fartun Gedow,
Darasa la Nne,
Shule ya msingi Shodog

0 comments:

SHODOG PRIMARY SCHOOL | Designed by - Shodog Primary School - 2014